Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo aweka rekodi mpya Instagram

Cristiano Ronaldo Sets A New Record For The Most Liked Instagram Comment EVER Ronaldo aweka rekodi mpya Instagram

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo ameweka rekodi mpya kwenye mtandao wa Instagram, Hii ni baada ya Comment yake akimpongeza Kylian Mbappe kwa uhamisho wake kwenda Real Madrid kuwa na zaidi ya Likes Million 4.4 kwa kipindi kifupi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live