Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo aweka aweka rekodi mpya Ligi ya Saudia

Ronaldo Mshs.jpeg Ronaldo

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Nassr kutoka Saudi Arabia Cristiano Ronaldo ameendeleza ubabe katika ligi kuu nchini humo baada ya kuweka rekodi mpya katika ‘mechi’ ya hivi karibuni ya #Al Nassr dhidi ya Al Ittihad.

Kupitia mechi hiyo Ronaldo aliweka rekodi ya kufikisha mabao 35 ndani ya msimu 2023/24 na kuipiku rekodi ya awali ya mabao 34 iliyowahi kuwekwa na Abderrazak Hamdallah msimu wa 2018/19.

Mafanikio haya yameendelea kumeweka pazuri Ronaldo katika maisha yake ya ‘soka’ licha ya kukaribia kufikia miaka 40 huku baadhi ya wanasoka wakidaiwa kuiga jitihada za nyota huyo ili kufikia ‘levo’ yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live