Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo awavuta Casemiro, Nacho Al Nassr

Man Utd Midfielder Casemiro Al Nassr Striker Cristiano Ronaldo Real Madrid Defender Nacho Fernandez. Ronaldo awavuta Casemiro, Nacho Al Nassr

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo anajaribu kuwashawishi wachezaji wenzake wawili wa zamani kwa lengo la kuwashawishi wajiunge na klabu anayocheza ya Al Nassr.

Cristiano Ronaldo anajaribu kuwashawishi wachezaji wenzake wawili wa zamani kwa lengo la kuwashawishi wajiunge na klabu anayocheza ya Al Nassr. Wachezaji hao ni beki wa Real Madrid na Uhispania Nacho Fernandez, pamoja na kiungo wa kati wa Manchester United na Brazil Casemiro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live