Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo avuta Bil. 494, kutimkia Al-Nassr FC Saudi Arabia

Ronaldo Mask Ronaldo avuta Bil. 494, kutimkia Al-Nassr FC Saudi Arabia

Mon, 5 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo amekubali dili la TZS bilioni 494 kwa msimu na Al-Nassr FC ya Saudi Arabia.

Ronaldo ambaye ni mchezaji huru anatarajiwa kujiunga na klabu hiyo Januari 2023 kwa mkataba wa miaka miwili na nusu, hivyo kumfanya kuwa mchezaji anayelipwa ghali zaidi duniani.

Hivi karibuni, Ronaldo aliingia kwenye mvutano na kocha wake Ten Hag wa Man U ambapo Ronaldo aliwasema vibaya Man U kwenye mahojiano yake ambayo yalizua gumzo na mwishoni uongozi wa timu hiyo ulimalizana naye kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live