Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo asipocheza, Ureno inabeba Euro

Cristiano Ronaldo In.jpeg Ronaldo

Sat, 8 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa Ufaransa ambaye kwa sasa ni mchambuzi, Frank Leboeuf amesema timu ya Taifa ya Ureno inaweza kubeba Kombe la Euro ikiwa tu Cristiano Ronaldo hatocheza.

Nyota wa zamani wa Ufaransa ambaye kwa sasa ni mchambuzi, Frank Leboeuf amesema timu ya Taifa ya Ureno inaweza kubeba Kombe la Euro ikiwa tu Cristiano Ronaldo hatocheza. Leboeuf anasema: "Kwangu mimi, Ureno ni mmoja wa washindani wa Mashindano ya Ulaya ya msimu huu wa joto. Nadhani wanaweza kushinda Euro, lakini tu ikiwa Cristiano Ronaldo hatacheza."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live