Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo asimamishwa Saudi Arabia

Ronaldo Kuchunguzwa Kisa Staili Yake Ya Ushangiliaji Ronaldo asimamishwa Saudi Arabia

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo amesimamishwa kucheza mechi moja baada ya ishara chafu aliyoionyesha uwanjani hivi karibuni nchini Saudi Arabia.

Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita dakika chache baada ya timu ya al-Nassr anayoichezea Ronaldo, kuishinda al-Shabab kwa goli 3-2.

Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United vilevile ameamriwa kulipa faini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live