Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo arudi Madrid na kufanya kufuru hii

Cristiano Ronaldos Bugatti Centodieci Has Arrived In Saudi Arabia 750x393 Ronaldo arudi Madrid na kufanya kufuru hii

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Al Nassr Cristiano Ronaldo alionekana siku ya Jumanne usiku jijini Madrid akiendesha gari yake mpya aina ya Bugatti Centodieci ambalo linagharimu $9m sawa na Bilioni 21 kwa pesa za Kitanzania.

Mshambuliaji wa Al Nassr Cristiano Ronaldo alionekana siku ya Jumanne usiku jijini Madrid akiendesha gari yake mpya aina ya Bugatti Centodieci ambalo linagharimu $9m sawa na Bilioni 21 kwa pesa za Kitanzania. Ili kusherehekea kumbukumbu yake ya miaka 110, mtengenezaji wa magari wa Ufaransa, Bugatti, alizindua Centodiecci gari hilo maalumu ambalo kulingana na ripoti, kampuni hiyo ilizalisha magari 10 tu, kila moja likigharimu $9M.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live