Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo anataka kusepa kambi ya Ureno

Ronaldo Kambi.jpeg Cristiano Ronaldo

Thu, 8 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuchukua hatua hiyo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na kocha wake wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos.

Mshambuliaji huyo alianzia benchi katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora dhidi ya Uswisi, inaelezwa kuwa amechukizwa na maamuzi hayo na mpaka sasa upepo baina ya wawili hao haujakaa sawa.

Ureno bado inashiriki Michuano ya Kombe la Dunia, ipo Robo Fainali ambapo inatarajiwa kucheza dhidi ya Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live