Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo anataka chake Juventus

Ronaldo Cristiano Ronaldo

Sun, 17 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo anapanga kuiburuza Mahakamani Klabu ya Juventus kwa kutomlipa kiasi cha (€19.9M) zaidi ya TSh. BILIONI 53, pesa ambayo ilikatwa kipindi cha Janga la COVID-19 walipokuwa wakijaribu kupunguza matumuzi ya Klabu.

Cristiano Ronaldo anapanga kuiburuza Mahakamani Klabu ya Juventus kwa kutomlipa kiasi cha (€19.9M) zaidi ya TSh. BILIONI 53, pesa ambayo ilikatwa kipindi cha Janga la COVID-19 walipokuwa wakijaribu kupunguza matumuzi ya Klabu. Ronaldo ambaye kwa sasa anakipiga nchini Saudi Arabia, tayari amewasiliana na ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa mjini Turin kuhusu suala hili ambapo amepanga kuchukua hatua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live