Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo amwaga machozi kama mtoto

Ronaldo Mlks.jpeg Ronaldo amwaga machozi kama mtoto

Sun, 11 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Neymar Jr. kumwaga chozi hapo juzi wakati timu yake ya Brazil ikiondolewa na Croatia jana Jumamosi, Desemba 10, 2022 imekuwa zamu ya Cristiano Ronaldo.

Ureno imepokea kichapo kutoka kwa Simba wa Atlas, Morocco nahivyo kuondolewa katika michuano hiyo.

Morocco imeweka rekodi kwa mara ya kwanza ya kuwa timu pekee kutoka Afrika kuingia hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia.

Bao la pekee limefungwa na Yusuf En Nesyri dakika ya 42.

Tangu kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia mwaka 1930 Morocco inakuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kuingia nusu fainali ya mashindano hayo. Timu hiyo sasa itakutana na mshindi wa England na Ufaransa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live