Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo amfunika Haaland

Ronaldo Amfunika Haaland Ronaldo amfunika Haaland

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo amefunga magoli 40 ndani ya mwaka 2023 goli moja zaidi ya Erling Haaland (39).

Ronaldo ameifungia Ureno magoli mawili katika mchezo kufuzu EURO 2024 dhidi ya Bosnia&Herzegovina.

Ureno ipo mbele 5-0 mpaka kipenga cha mwisho.

FT: BOSNIA 0-5 PORTUGAL

5' Ronaldo

19' Ronaldo

25' Bruno Fernandes

32' Cancelo

42' Felix.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live