Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo ameiheshimisha Saudi Arabia

Conhra Ronaldo ameiheshimisha Saudi Arabia

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wa usajili wake ikionekana kama ni jambo la ajabu hatimaye Staa wa Ureno Cristiano Ronaldo ameanza kupewa maua yake nchini Saudi Arabia.

Mratibu Mkuu wa uendeshaji wa Ligi ya Saudi Arabia amesifu usajili wa Ronaldo nchini humo akisema;

"Kumsajili Cristiano Ronaldo kucheza nchini Saudi Arabia kumesaidia kutangaza ligi kwa nchi 140 na kuongeza mapato ya ligi kwa asilimia 650%" - Amesema Carlo Nohra Mratibu Mkuu wa Uendeshaji wa Ligi ya Saudia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live