Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo akiri "Niligoma kwenda Saudia"

Cristiano Ronaldo Ronaldo

Fri, 18 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo amethibitisha kwamba ni kweli alikataa ofa ya pauni milioni 350 kutoka klabu ya Saudia wakati ya dirisha la usajili la majira ya joto.

“Ni kweli, nilikataa. Lakini kile walichosema waandishi wa habari kwamba hakuna timu iliyonitaka ni uongo, sio sawa kabisa. Lakini wanaendelea kurudia kwamba hakuna mtu anayemtaka Cristiano.

"Nina vilabu vichache vinavyotaka kunisajili na sikwenda kwa sababu najisikia furaha nikiwa Man Utd.

"Wanasema kwamba Marais na wakurugenzi wa timu mbalimbali wamezungumzia kunikataa. Ni uongo mtupu, wanasema uongo,” amesema Ronaldo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live