Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo: UEFA ni bora kuliko Kombe la Dunia

Ronaldo With Uefa Medal Ronaldo: UEFA ni bora kuliko Kombe la Dunia

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshindi mara tano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) amesema hawezi kuuza medali zake za UEFA ili apate kombe la Dunia.

Majibu hayo ameyatoa baada ya kuulizwa kama yupo tayari kuuza medali zake tano za UEFA ili apate Kombe la Dunia.

Ronaldo amezidiwa na hasimu wake Lionel Messi ambae yeye tayari amenyakua Ubingwa wa Dunia akiwa na Argentina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live