Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo: Sipendi kupigiwa simu usiku

Cristiano Ronaldo In.jpeg Cristiano Ronaldo

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa ‘klabu’ kutoka Saudi Arabia ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo ameweka wazi kuwa hapendi kuongea na simu ifikapo saa nne au tano usiku huku akitaja sababu ni kwa ajili ya kuweka akili sawa na kupumzisha mwili wake.

Mchezaji wa ‘klabu’ kutoka Saudi Arabia ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo ameweka wazi kuwa hapendi kuongea na simu ifikapo saa nne au tano usiku huku akitaja sababu ni kwa ajili ya kuweka akili sawa na kupumzisha mwili wake. CR7 kwenye moja ya mahojiano yake ya hivi karibuni amenukuliwa akieleza kuwa “Jambo moja muhimu, sizungumzi baada ya saa 10/11 usiku, Siongei na simu. Sipendi kuongea usiku kwa sababu ya kutuliza ubongo wangu, kwa hivyo, baada ya saa 10, usinipigie simu”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live