Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo Jr atua Saudi Arabia, apewa jezi kama ya Baba yake

Ronaldo Jr Ronaldo Jr amejiunga na akademi ya Al Nassr

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ronaldo Jr mtoto wa Cristiano Ronaldo amejiiunga na Al Nassr U-15 ya Saudi Arabia na amepewa jezi namba 7 kama anayovaa Baba yake.

Ronaldo Jr amepita katika Akademi za Real Madrid, Manchester United na Juventus ambazo baba yake amecheza.

Mtoto wako ana dalili ya kufanya kama unachofanya wewe?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live