Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldinho kuwasha moto nchini Rwanda

Ronaldihno.jpeg Ronaldinho kuwasha moto nchini Rwanda

Sat, 23 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nguli wa soka kutoka Brazil Ronaldinho Gaúcho anatarajiwa kuuwasha moto na washiriki wengine 150 katika michuano ya Veteran Clubs World Championship.

Nguli wa soka kutoka Brazil Ronaldinho Gaúcho anatarajiwa kuuwasha moto na washiriki wengine 150 katika michuano ya Veteran Clubs World Championship. Ronaldinho ame-share taarifa hiyo Kupitia ukurasa wake wa X kwa kueleza kuwa mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika kuanzia September 1 hadi 10 mwaka 2024 nchini Rwanda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live