Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldinho azindua Akademi ya Soka India

Brazilian Footballer Ronaldinho Ga Cho During 1650507 Ronaldinho azindua Akademi ya Soka India

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota nguli wa Kimataifa wa Brazil, Ronaldinho Gaucho akipewa maua yake ndani ya India mara baada ya kuzindua academy iitwayo 'R10 Academy ' ndani ya Rajarhat.

Nyota nguli wa Kimataifa wa Brazil, Ronaldinho Gaucho akipewa maua yake ndani ya India mara baada ya kuzindua academy iitwayo 'R10 Academy ' ndani ya Rajarhat. Kastaafu soka lakini bado anaendelea kuheshimika kwenye mataifa mbalimbali kwa kile alichokifanya kwenye karia yake ya Soka Duniani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live