Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronald Koeman Kocha mpya Uholanzi

Ronald Koeman New Coach Ronald Koeman Kocha mpya Uholanzi

Tue, 24 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ronald Koeman ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa Uholanzi akichukua nafasi ya Louis Van Gaal ambaye aliacha nafasi yake baada ya kombe la Dunia 2022.

Ronald Koeman ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa Uholanzi akichukua nafasi ya Louis Van Gaal ambaye aliacha nafasi yake baada ya kombe la Dunia 2022. Hii ni mara ya pili kwa Koeman (59) kuifundisha timu ya taifa ya Uholanzi.Hapo awali aliifundisha Oranje kutoka 2018 hadi 2020, lakini aliondoka chini ya wito wa klabu yake ya zamani ya Barcelona.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live