Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Romero amtaka kiungo wa Liverpool akalilie nyumbani

Romero X Mac Allister Romero amtaka kiungo wa Liverpool akalilie nyumbani

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa klabu ya Liverpool na timu ya Taifa ya Argentina Alex Mac Allister baada ya kichapo cha goli 2-1 hapo jana dhidi ya Tottenham aliandika

"Ni kawaida ukicheza na watu kumi na mbili"

Baada ya kuandika hivyo kiungo wa klabu ya Tottenham Cristian Romero ambaye ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Argentina pia akaandika

" Kalilie nyumbani'

Chanzo: www.tanzaniaweb.live