Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rodrygo aikataa Liverpool ili acheze Santos

Rodrigo Goes Zz Nyota wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Brazil Rodrygo Goes

Mon, 8 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Brazil Rodrygo Goes aliikataa ofa ya Liverpool alipohitajika kipindi alipikuwa anaitumikia klabu ya Santos ya kwao Brazil mwaka 2019.

Baada ya kuikataa Liverpool alichagua kwenda Santiago Bernabeu kuitumikia klabu ya Real Madrid yenye maskani yake nchini Hispania.

"Nilihitaji kusalia Santos, ili nitengeneze historia na klabu hii."

"Na hicho ndicho kilichotokea, nilitimiza ndoto zangu za kuichezea Santos, na ni kweli kidogo niende Liverpool."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live