Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rodri anavyompasua kichwa Pep Guardiola

Rodri X Pep Guardiola Rodri anavyompasua kichwa Pep Guardiola

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Takwimu za ligi kuu Uingereza zinaonyesha kuwa baada ya michezo 15 hadi sasa tayari Manchester City wamepoteza michezo minne, huu ni mwanzo mbaya wa msimu tangu kufika kwa kocha Pep Guardiola kwenye klabu hiyo

Moja kati ya sababu kubwa kwa kuanza msimu vibaya kwa City ni kuwakosa baadhi nyota wao muhimu kama Kelvin De Bruyne huku athari kubwa ikiwa mechi kumkosa kiungo wa mzuiaji Rodri ambaye mpaka sasa amekosa michezo minne na ndiyo hiyohiyo City waliyopoteza

Guardiola ameonekana kuwajaribu viungo na mabeki wakati tofauti kwenye nafasi ya Rodri bila mafanikio.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live