Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rodri aandaliwa Mkataba mnono Man City

RODRIGO DE PP Kiungo wa Man City, Rodri

Tue, 9 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester City inataka kumuongezea kiungo Rodri mshahara mpya utakaomshuhudia nyota huyo raia wa Uhispania kutia kibindoni kitita cha pauni 300,000 kwa wiki.

Mkataba wa sasa wa Rodri ambaye kwa sasa anapokea mshahara wa pauni 180,000 kwa wiki unatamatika mwaka 2027.

Rodri amekuwa kiungo muhimu katika mafanikio ya Man City msimu uliopita wakibeba mataji matatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live