Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roberto Oliveira, mwamba huyu hapa, wasifu wake ni balaa!

Olivera Brazil  Roberto Oliveira, mwamba huyu hapa, wasifu wake ni balaa!

Wed, 26 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mpya ambaye anatajwa kujiunga na Yanga ni raia wa Brazil, Roberto Oliveira anayeinoa Vipers ya Uganda.

Kocha huyo ndiye aliyeifunga Yanga kwenye kilele cha Siku ya Mwananchi jijini Dar es Salaam lakini hivi karibuni aliiondosha TP Mazembe nyumbani kwao kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tena akiipigia mpira mwingi kwa kutumia kikosi chenye thamani ambayo haifikii ile ya Yanga.

WASIFU WA OLIVIERA

Jina: Robertinho Oliveira

Kuzaliwa: 22 Juni 1960,Brazil

Alicheza:

1978–1982: Fluminense (Brazil)

1983: Flamengo (Brazil)

1984: Palmeiras (Brazil)

1985–1986: Flamengo (Brazil)

1987: Internacional (Brazil)

1988: Sport (Brazil)

1989: Atlético Mineiro (Brazil)

1989–1993: Nacional (Ureno)

1994–1995: Grössembacher (Brazil)

Timu ya Taifa: Brazil (1980)

Alikofundisha:

1995: Grössembacher (Brazil)

1995–1997: Rio Branco (Brazil)

1998–1999: Brasil de Pelotas (Brazil)

1999–2000: São Bento (Brazil)

2000–2002: Fluminense (Brazil)

2003: Clube de Regatas Brasil (Brazil)

2003–2004: Centro Sportivo Alagoano (Brazil)

2004: America (Brazil)

2004–2005: Rio Branco (Brazil)

2005–2008: Stade Tunisien (Tunisia)

2008–2009: Kazma (Kuwait)

2009: Al-Shamal (Qatar)

2009–2010: Hammam-Sousse (Tunisia)

2010–2011: Legião (Brazil)

2012–2013: Stade Gabèsien (Tunisia)

2013–2014: Grombalia Sports (Tunisia)

2014–2016: Atlético Sport Aviação (Angola)

2018–2019: Rayon Sports (Rwanda)

2020 -2021: Gor Mahia (Kenya)

2021/22– Vipers.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live