Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roberto Martínez aandika historia yake Ureno

Roberto Martinez Roberto Martínez.

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Roberto Martínez ameshinda michezo yote kama kocha mkuu wa Ureno na hii ndio rekodi yake hadi sasa;

Amefuzu Euro 2024 akiwa wa kwanza kwenye kundi

Ameshinda 11 katika michezo 11

Clean sheets 9

Mabao 41 ya kufunga

mabao 4 ya 4 kufungwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live