Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roberto Carlos amkataa Ronaldo

Ronaldo X R Carlos Roberto Carlos amkataa Ronaldo

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani Brazil na vilabu mbalimbali ikiwemo Real Madrid, Roberto Carlos wakati akifanyiwa mahojiano amesema kuwa kati ya Messi na Ronaldo ni Messi pekee ndiye alikuwa mchezaji bora na muhimu kiasi kwamba aliweza kuifanya Barcelona iwe timu bora duniani tofauti na Ronaldo ambaye Real Madrid ndiyo ilimfanya awe bora na si yeye kuisaidia timu kuwa bora

Mchezaji wa zamani Brazil na vilabu mbalimbali ikiwemo Real Madrid, Roberto Carlos wakati akifanyiwa mahojiano amesema kuwa kati ya Messi na Ronaldo ni Messi pekee ndiye alikuwa mchezaji bora na muhimu kiasi kwamba aliweza kuifanya Barcelona iwe timu bora duniani tofauti na Ronaldo ambaye Real Madrid ndiyo ilimfanya awe bora na si yeye kuisaidia timu kuwa bora "Messi alifanya Barcelona kuwa bora na Madrid ikamfanya Cristiano kuwa bora. Sasa Barcelona inapata tabu kushinda mataji bila ya Messi na Madrid inazidi kushinda mataji bila Cristiano. Mchezaji mwenye uamuzi zaidi daima alikuwa Messi." amesema Roberto Carlos

Chanzo: www.tanzaniaweb.live