Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho ni mwanafunzi mwenye mwandiko mzuri aliyeshindwa mtihani

Robertinho Kufanya Mabadiliko Ya Kikosi Dhidi Ya Al Ahly Robertinho ni mwanafunzi mwenye mwandiko mzuri aliyeshindwa mtihani

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Safari ya miezi 10 ya kocha Roberto Oliviera ‘Robertinho’ imetamatika ndani ya klabu ya Simba, licha ya kocha huyo kuwa na takwimu zinazoshawishi, kipigo alichokipata kutoka kwa Yanga kimewafanya waajiri wake washindwe kumvumilia.

Ni sawa na kumfafanisha na mwanafunzi mwenye mwandiko mzuri lakini ameshindwa kufaulu katika mitihani yake.

Rasmi kocha huyo amefungashiwa virago lakini mimi na wewe tujiulize maisha ya Robertinho msimbazi yalikuaje? Fuatilia hapa kufahamu kwa undani zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live