Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho ni Kocha wa malengo zaidi

Roberto Robertinho.jpeg Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa kikosi cha Simba Robert Oliviera tangu ametua Simba ameiongoza katika michezo kumi (10) ya Ligi ya mabingwa Afrika.

Ameshinda mechi nne (4) amefungwa mechi nne (4) ametoa sare mechi mbili (2).

Mechi inayofuata kimataifa dhidi ya Al Ahly katika Michuano ya African Football League.

Hizi sio takwimu mbaya kwa kocha anayecheza kwa malengo, hadi hivi sasa kwenye Ligi ana "unbeaten".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live