Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho afurahia droo ya Makundi Klabu Bingwa

Robertinho  Instagram Robertinho afurahia droo ya Makundi Klabu Bingwa

Sat, 7 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera 'Robertinho' amesema anafurahishwa na kundi alilopangiwa katika droo ya Makundi iliyopangwa jana nchini Afrika Kusini.

Akizungumza mara baada ya droo hiyo kupangwa, Robertinho amesema amezungumza na msaidizi wake, wamefurahia kupangwa kundi hilo ambalo lina wapinzani wazuri.

"Ni kundi zuri, tumefurahi kupangiwa wapinzani hawa wazuri. Ni kipindi kizuri kwetu, tuna msingi mzuri wa timu, tuna mwendelezo wa matokeo mazuri," alisema Robertinho.

Kwenye Makundi, Simba yupo Kundi B akiwa na Wydad Casablanca, ASEC MIMOSAS na Jwaneng Galaxy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live