Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho afungukia droo Ligi ya Mabigwa - VIDEO

Robertinho Mkwara Robertinho afungukia droo Ligi ya Mabigwa - VIDEO

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera 'Robertinho' amezungumzia droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo imefanyika jana.

Robertinho amesema anawaheshimu wapinzani atakaokutana nao kati ya Africans Stars au Power Dynamos lakini anajivunia kwa sasa anacho kikosi kipana na kizuri.

"Kwa kweli najivunia kuwa na kikosi imara, benchi zuri la ufundi. Mimi nafikiria vikubwa na Simba ni kubwa. Niwaombe mashabiki waisapoti timu kwani wao ndiyo wachezaji wa kumi na mbili, tujivunie Simba," alisema Robertinho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live