Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho aanza na Dilunga

Robertinho X Hassan Dilunga Kocha wa Simba, Robertinho na Hassan Dilunga

Tue, 25 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jina la kwanza lililopitishwa na kocha wa Simba, Robertinho kusajiliwa pindi tu dirisha litakapofunguliwa ni winga wao wa zamani Hassan Dilunga ambaye anafanya mazoezi na timu hiyo, jambo lililomshawishi kocha kukubali kiwango chake.

Jina la kwanza lililopitishwa na kocha wa Simba, Robertinho kusajiliwa pindi tu dirisha litakapofunguliwa ni winga wao wa zamani Hassan Dilunga ambaye anafanya mazoezi na timu hiyo, jambo lililomshawishi kocha kukubali kiwango chake. Dilunga aliachwa na Simba msimu huu baada ya kupata majeraha ya muda mrefu lakini ameimarika na sasa yuko fiti kurudi Uwanjani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live