Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho: Tunawaheshimu Wydad lakini tutashinda

ROBERTINHO KUELEKEA MCHEZO WA KESHO Robertinho: Tunawaheshimu Wydad lakini tutashinda

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera 'Robertinho' amesema kuwa, anawaheshimu wapinzani wake wa kesho kwenye mchezo wa Ligi ya Mabigwa Afrika lakini anawaamini wachezaji wake, watashinda.

Robertihno ameyasema hayo leo Aprili 21, 2023 kwenye mkutano na waandishi wa habari kuelekea mechi hiyo ya kwanza ya Robo Fainali itakayopigwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar.

"Tunawaheshimu wapinzani wetu wapo Klabu Bingwa kama zilivyotimu nyingine tukiwemo sisi lakini nina imani kubwa na wachezaji wangu, tutacheza vizuri na kushinda," alisema Robertihno.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live