Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho: Tunawaheshimu Al Ahly lakini kesho lazima 'wafe'

Robertinho  Instagram Robertinho: Tunawaheshimu Al Ahly lakini kesho lazima 'wafe'

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera 'Robertinho' amesema, anamheshimu mpinzani wake wa Al Ahly katika mchezo wa African Football League lakini watapambana washinde.

Robertinho ameyasema hayo alipokuwa kwenye mahojiano ya wanahabari kuelekea mchezo huo wa kesho.

"Tunafahamu tunacheza na timu kubwa lakini na sisi ni timu kubwa, naamini kikosi na uwezo wa wachezaji wangu naamini kesho tutashinda," alisema Robertinho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live