Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Robertinho: Hii Simba.... subirini mtaona!

Robertinho X Hassan Dilunga Robertinho

Mon, 3 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema baada ya muda wa miezi minne aliyokaa na timu anaamini katika siku za baadae Simba itakuwa na kikosi imara.

Robertinho amesema timu hiyo inacheza kwa maelewano mazuri ikiwa na mpira hata isipokuwa nao na hilo ni jambo jema.

“Nina muda wa miezi minne hapa lakini hii timu itakuwa imara zaidi siku chache zijazo. Timu inacheza vizuri ikiwa na mpira na hata isipokuwa nao,“ amesema Robertinho

Chanzo: www.tanzaniaweb.live