Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

River Plates yamuandalia Messi huduma za VIP

Lionel Messi Vs Parag Lionel Messi

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya River Plates imetoa tiketi na huduma za VIP Bure kwa familia ya Lionel Messi katika mchezo wa Mabingwa wa kombe la Dunia timu ya Taifa ya Argentina dhidi ya Paraguay kuwania kufuzu Kombe la Dunia ambapo Argentina waliibuka na ushindi wa bao 1-0.

River Plates wameamua kufanya hivyo kutokana na mapenzi waliyonayo kwa nyota huyo wa klabu ya Inter Miami ya Marekani.

Mchezo huo ulipigwa katika uwanja wa River Plates (Estadio Màs Monumental).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live