Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Richarlison amlilia Jurgen Klopp

Wedtfete Richarlison amlilia Jurgen Klopp

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Tottenham Hotspurs Richarlison amemtaja kocha wa Liverpool kama miongoni mwa makocha bora aliowahi kukutana nao licha ya kuwa hakuwahi kumfundisha.

Nyota wa klabu ya Tottenham Hotspurs Richarlison amemtaja kocha wa Liverpool kama miongoni mwa makocha bora aliowahi kukutana nao licha ya kuwa hakuwahi kumfundisha. "Licha ya upinzani tuliokuwa nao uwanjani, wewe ni moja ya makocha bora sana niliowahi kuwashuhudia. Mungu aibariki safari yako." Richarlson Nyota wa klabu ya Tottenham Hotspurs.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live