Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rennes ilivyochonga ramani ya mafanikio kwa nyota hawa

Rennes Stars Rennes ilivyochonga ramani ya mafanikio kwa nyota hawa

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pichani ni furaha ya Florentino Perez, Carlo Ancelotti, Jude Bellingham na Vinicius Jr, Cama Ohh, Cama Ohhh, Camavinga.

Kijana mkimbizi kutokea Angola mpaka Ufaransa, kutokea Rennes akiwa trophyless lakini mpaka sasa ana makombe yote nyenye heshima duniani, kataba limekaa mahala pake, sio mwingine ni kijana anayeenjoy mafanikio katika umri wa miaka 21 tu. Eduardo Camavinga.

Camavinga akiwa mbele ya Steven Nkemboanza Nzonzi, pembeni ya Benjamin Bourigeaud kushoto lilikuwa jini linalomnyima Jack Grealish usingizi hivi sasa, dribbling imelala hapo, unyama wote unaoutaka kwa winga wa kisasa utaupata hapa.

Sio mwingine, hii ni furaha ya Josep Guardiola, Jeremy Doku.

Vijana wanaishi maisha yao pale Manchester na Madrid lakini Rennes ndio chimbo lao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live