Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Reliant Lusajo kuibukia Mashujaa FC

Lusajo Bao N Reliant Lusajo

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Upo Uwezekano wa Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Namungo FC, Reliant Lusajo kujiunga na klabu ya Mashujaa.

Upo Uwezekano wa Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Namungo FC, Reliant Lusajo kujiunga na klabu ya Mashujaa. Mazungumzo yamefika pazuri na inatajwa kabla ya juma hili kuisha atakuwa amesha saini klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live