Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi zaibeba yanga kwa JKT Tanzania

JKT TZ X Yanga Rekodi zaibeba yanga kwa JKT Tanzania

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga leo kitashuka Dimbani dhidi ya JKT Tanzania katika Mchezo wa Mzunguko wa 23 Ligi Kuu Tanzania Bara.

JKT inaenda kukumbana na Yanga ikiwa na historia isiyofurahisha kwa Wapenzi wa Klabu hiyo kwani Mchezo wa Kwanza Walipoteza kwa Kufungwa goli 5 kwa sifuri.

Mchezo huo Utachezwa katika Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Mkoani Dar es Salaam Majira ya 10:00 Jioni.

Michezo Waliowahi Kucheza:-

2018 Yanga 3-0 JKT Tanzania

2019 JKT Tanzania 0-1 Yanga

2019 Yanga 3-2 JKT Tanzania

2020 JKT Tanzania 1-1 Yanga

2021 Yanga 1-0 JKT Tanzania

2023 Yanga 5-0 JKT Tanzania

JKT Tanzania ni Miongoni mwa timu zinazo tazamiwa Kushuka Daraja Msimu huu wa 2023/24 Kwani ni badala wa Mwisho Ikiwa Imecheza michezo 22 imefunga goli 16 ikiwa nafasi ya 15 kati ya 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live