Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi zaibeba Yanga dhidi ya Simba 'Kariakoo'Derby'

Simba, YANGA Rekodi zaibeba Yanga dhidi ya Simba 'Kariakoo'Derby'

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa dabi ya Kariakoo kati ya watani wa jadi kwenye soka la Tanzania, Simba vs Yanga utakaopigwa Jumapili ijayo, Oktoba 5, 2023 katika Dimba la Mkapa majira ya saa 11:00 jioni.

Hizi hapa takwimu zote za Simba Sc na Yanga Fc kwenye Dabi ya Kariakoo;

Simba ----------------------- Yanga

108 ........... Michezo ............ 108

32 ........... Kushinda ............. 39

37 ............. Draw ............... 37

39 ........... Kupoteza ............ 32

138 ..... Magoli ya kufunga ........ 151

151 ...... Magoli ya kufungwa ...... 138

33 ......... Cleansheets ............ 44

22 ....... Makombe Ligi Kuu ......... 29

MECHI ZA MWISHO KUANZIA MWAKA 2018

◎ Simba 0 - 0 Yanga (NBC) ›› 18

◎ Yanga 0 - 1 Simba (NBC) ›› 19

◎ Simba 2 - 2 Yanga (NBC) ›› 20

◉ Simba 0 - 1 Yanga (NBC) ›› 20

◎ Yanga 1 - 1 Simba (NBC) ›› 20

◉ Simba 0 - 1 Yanga (NBC) ›› 21

◉ Yanga 0 (4) - (3) 0 Simba (MP) ›› 21

◎ Simba 1 - 0 Yanga (FA) ›› 21

◉ Simba 0 - 1 Yanga ›› 21

◎ Simba 0 - 0 Yanga (NBC) ›› 21

◎ Yanga 0 - 0 Simba (NBC) ›› 22

◉ Yanga 1 - 0 Simba (FA) ››22

◉ Yanga 2 - 1 Simba ›› 22

◎ Yanga 1 - 1 Simba (NBC) ›› 23

◎ Simba 2 - 0 Yanga (NBC) ›› 23

◎ Yanga (1) 0 - 0 (3) Simba ›› 23

Yanga - Kushinda Mara — 6

Simba SC- Kushinda Mara — 4

Sare - 6.

Msimu huu Simba na Yanga wamekutana mara moja kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ambapo timu hizo zilitoa sare ya bila kufungana lakini mechi hiyo iliamriwa kwa mikwaju ya penati ambapo Simba ilishinda.

Nani kumfunga mwenzake Jumapili? Ni Simba au yanga?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live