Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi za chuma kipya Yanga, ni mbadala wa Skudu

Maxi Ageee.jpeg Rekodi za chuma kipya Yanga, ni mbadala wa Skudu

Mon, 24 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama mambo yatabaki kama yalivyo Klabu ya Yanga SC itamsajili mchezaji bora wa AS Maniema 2023|2024, Basiala Agee.

Winger huyo mwenye umri wa miaka (25) ndiye kinara wa Assists Ligi Kuu (6) katika klabu ya AS Maniema 2023|2024.

Pia ni mfungaji bora namba (2) akiwa na magoli (6) Ligi Kuu DRC katika klabu hiyo iliyoshika nafasi pili (2) nyuma ya TP Mazembe na kufuzu CAF Champions League.

Pia ametajwa kwenye orodha ya kikosi bora cha msimu cha ligi kuu ya DR Congo

Kikosi bora cha msimu Linafoot;

◎ Badara Faty - Mazembe

◎ Ibrahim Keïta - Mazembe

◎ Ernest Luzolo - Mazembe

◎ Helton Kayembe - Eagles

◎ Kevin Mundeko - Mazembe

◉ Charve Onoya - AS Maniema

◉ Agee Basiala - AS Maniema

◎ Micka Michée - Lupopo

◎ Fily Traoré - Mazembe

◎ Elie Mpanzu - AS Vita Club

◎ Ibrahim Matobo - Eagles.

Klabu ya AS Maniema inatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ajili ya Pre-season Jijini Dar es Salaam Kigamboni AVIC TOWN. Pia, Klabu ya Yanga inamtaka kiungo mkabaji wa AS Maniema, Charve Onoya.

Maniema na Yanga;

◉ Tuisila Kisinda

◉ Fiston Mayele

◉ Maxi Mpia Nzengeli

◎ Agee Basiala.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live