Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi za Mudathir zinatisha

Mudathir Yahya Chamzi Goals Rekodi za Mudathir zinatisha

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya Abbas ameendeleza mtoto wake wa kupachika mabao siku za hivi karibuni jambo ambalo limezidi kuwapa furaha Wananchi ambao kwa sasa ni kama wapo kwenye kilele cha furaha kufuatia matokeo mazuri wanayoyapata siku hadi siku.

Mudathir amefunga magoli (5) katika mechi (5) za mwisho (NBC) baada ya AFCON.

⚽ vs Dodoma jiji

⚽ vs Mashujaa FC

- vs Tanzania Prisons

⚽⚽ vs KMC

⚽ vs Namungo FC

Mudathir Yahya msimu huu mpaka sasa kwenye kichuano yote amefunga mabao 10.

⚽ vs KMC

⚽ vs ASAS Djibouti (CAF)

⚽ vs Namungo

⚽ vs Medeama (CAF)

⚽ vs Dodoma jiji

⚽ vs Mashujaa FC

⚽⚽ vs KMC

⚽ vs CR Belouizdad (CAF)

⚽ vs Namungo Fc

Takwimu za vinara wa mabao, michezo waliyocheza, Magoli na Assists ;

01. Mechi 20, mabao ⚽ 12 assists 5 — Feisal Salum

02. Mechi 12, mabao ⚽ 11 assists 4 — Stephane Aziz Ki

03. Mechi 18, mabao ⚽ 08 assists 4 — Marouf Tchakei

04. Mechi 16, mabao ⚽ 08 assists 2 — Maxi Nzengeli

05. Mechi 10, mabao ⚽ 08 assists 1 — Jean Baleke

06. Mechi 18, mabao ⚽ 11 assists 0 — Waziri Junior

07. Mechi 16, mabao ⚽ 07 assists 2 — Mudathir

08. Mechi 11, mabao ⚽ 07 assists 1 — Prince Dube

09. Mechi 18, mabao ⚽ 07 assists 0 — Adam Adam

10. Mechi 18, mabao ⚽ 07 assists 1 — Mbangula

11. Mechi 15, mabao ⚽ 06 assists 3 — Pacome Zouzoua.

Tangu aanze kucheza soka la ushindani kwa mara ya kwanza Mudathir amefunga mabao (10) ndani ya msimu (1) tena ni ndani ya nusu msimu tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live