Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi ya Yanga dk 1,440 unyama mwingi sana

Yanga Mtibwa.jpeg Yanga

Thu, 3 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Yanga kimeweka rekodi matata ndani ya dakika 1,440 baada ya kucheza mechi 16 bila kupoteza pointi tatu mazima.

Ni mechi 13 za ligi imeshinda ambazo ni dk 1,170 huku ikiambulia sare mechi 3 ambazo ni dk 270.

Ni timu namba moja yenye safu ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 28 na ile ya ulinzi imetunguliwa mabao 4.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live