Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi ya Vipers Ugenini majanga, Simba kazi kwao

Vipers Hawajawahi Shinda Rekodi ya Vipers Ugenini majanga, Simba kazi kwao

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Vipers FC ya Uganda, tangu ipande Ligi Kuu Uganda imecheza michezo 12 ya Mashindano ya Afrika ugenini na kushinda mara moja tu, ikitoka sare tatu na kupoteza mechi nane.

Klabu ya Vipers FC ya Uganda, tangu ipande Ligi Kuu Uganda imecheza michezo 12 ya Mashindano ya Afrika ugenini na kushinda mara moja tu, ikitoka sare tatu na kupoteza mechi nane. Leo Machi 7, Vipers wako ugenini kukipiga na Simba SC katika Uwanja wa Mkapa mchezo wa mzunguko wa nne hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live