Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rekodi ya Messi ngumu kumeza

Lionel Messi Miami Lionel Messi

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rekodi aliyoiweka Lionel Messi ya kufunga mabao 91 ndani ya mwaka mmoja 2012 (Januari 1- Disemba 31), huenda isifikiwe.

Cristiano Ronaldo alifunga mabao 69 (2013 akiwa na Real Madrid) na Lewandowski 69 (2021).

Erling Haaland mwaka huu ambao unaisha Disemba 31 hadi sasa ana 44, wakati Kylian Mbappe ana mabao 40 hadi sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live