Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Refarii afungiwa kujihusisha na soka maisha, kisa ni hiki..!

Smith Bann Refaree Jan Smit kutoka nchini Uholanzi

Fri, 17 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Refaree Jan Smit kutoka nchini Uholanzi amefungiwa kujihusisha na soka maisha baada ya kushiriki kushangilia na timu ya St George iliyobeba ubingwa baada ya kumalizika kwa mchezo.

Refaree Jan Smit kutoka nchini Uholanzi amefungiwa kujihusisha na soka maisha baada ya kushiriki kushangilia na timu ya St George iliyobeba ubingwa baada ya kumalizika kwa mchezo. Refa Jan alikuwa anachezesha mchezo wa Ligi daraja la nne kati ya St. George na SV De Valken Jumapili mchana. Refa huyo aliacha maswali mengi sana baada ya kutoa kadi nne nyekundu kwa timu ya SV De Valken kwenye muda wa kawaida.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live