Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Refa wa Senegal vs Ivory Coast atemwa AFCON

Refa Senegal Mwamuzi wa Gabon Pierre Ghislain Atcho

Fri, 2 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi wa Gabon Pierre Ghislain Atcho, aliyechezesha mchezo wa Senegal na Cote d'Ivoire katika hatua ya 16 bora, hatashiriki tena Kombe la Mataifa ya Afrika 2023 kufuatia uamuzi wa Kamati ya Waamuzi ya CAF.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live