Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Refa matatani kwa kumchoma kisu mchezaji (+Video)

Refa Kisu Refa matatani kwa kumchoma kisu mchezaji

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muamuzi wa mpira wa miguu anayefahamika kwa jina la #RemigioArmoa atuhumiwa kumchoma kisu mchezaji wa ‘timu’ ya #Chacarita, #Kevin, baada ya kuzuka vurugu kati ya wachezaji kwenye ‘mechi’ ya madaraja ya chini Argentina.

Tukio hilo lilitokea katika mji wa Scholler katika jimbo la Misiones, nchini humo, Video iliwaonesha wachezaji wakimsukuma refa ambaye baada ya kuona amezidiwa alichomoa kisu na kumchoma mchezaji kifuani.

Baada ya tukio hilo refa alikimbia eneo hilo, huku mchezaji huyo akionekana kudondoka chini na baadhi ya watu wakijaribu kumpa msaada wa kumtoa nje ya uwanja.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live