Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Refa amwaga machozi akichezesha mchezo wa mwisho PSG vs Dortmund

Refa Machozi Mwamuzi Danielle Orsato

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi Danielle Orsato alionekana akitokwa na machozi mchezo wa jana usiku baina ya PSG dhidi ya Dortmund mchezo wa UEFA, chanzo ya kutokwa machozi ni kuwa mchezo huo ndio wa mwisho kuchezesha kwa ngazi za vilabu.

Mwamuzi Danielle Orsato alionekana akitokwa na machozi mchezo wa jana usiku baina ya PSG dhidi ya Dortmund mchezo wa UEFA, chanzo ya kutokwa machozi ni kuwa mchezo huo ndio wa mwisho kuchezesha kwa ngazi za vilabu. Pia atastaafu rasmi uamuzi mara baada ya mashindano ya UEFA EURO 2024 yanayotarajiwa kufanyika nchini Ujerumani mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live