Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Refa afungiwa kwa kumpiga mchezaji sehemu 'nyeti' (+Video)

GOAL   Multiple Images   3 Stacked   Facebook Mwamuzi Fernando Hernandez kafungiwa mechi 12

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huko Mexico mwamuzi Fernando Hernandez kafungiwa mechi 12 kwa kumpiga mchezaji kifuti cha kwenye kinena.

Kiungo Lucas Romero na wachezaji wenzake wa Leon walimzonga mwamuzi wakihitaji akiajiridhishe kwanza katika VAR baada ya wapinzani wao Club America kufunga goli la kusawazisha la utata katika Ligi ya Mexico.

Mwamuzi Hernandez ambaye tayari alishatoa adhabu kwa wachezaji wenzake na Romero aliinua goti lake na kumpiga Romero sehemu za siri baada ya kufokewa na Romero.

Kilichofuata ni Romero kuanguka chini huku akiugulia kwa maamuzi makali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live